Taarifa kwa watoto na vijana
Information till barn och tonåringar – swahili
Kurasa hizi ni za watoto na vijana ambao wamekuja, au watakuja, kama wakimbizi wanaohamia nchini Uswidi. Hapa unaweza kusoma kuhusu jinsi maisha yanavyoweza kuwa kwa vijana huko Uswidi, haki za vijana na sheria maalum zilizopo za kuwalinda watoto.
Kwa watoto
Kwa watoto chini ya miaka 12.
Kwa vijana
Kwa vijana, miaka 13 hadi 18.
Maneno ya kawaida
Kiarabu | Kiingereza | Kiswidi |
---|---|---|
Karibu | Welcome | Välkommen |
Hujambo | Hello | Hej |
Habari zako? | How are you? | Hur mår du? |
Nzuri | I am fine | Jag mår bra |
Asante | Thank you | Tack |
Karibu | You are welcome | Varsågod |
Tafadhali | Please | Snälla |
Samahani | Sorry | Förlåt |
Unaitwaje? | What is your name? | Vad heter du? |
Jina langu ni … | My name is … | Jag heter … |
Sielewi | I do not understand | Jag förstår inte |
Sizungumzi Kiswidi | I do not speak Swedish | Jag pratar inte svenska |
Kwaheri | Goodbye | Hej då |